Marissa Maina - Kuwa Unachotaka | Clouds Jingle 2020 (MP3 Download)
Mboni zimejaa umaridadi, Kwa kutizama uzuri wako wee/ Mapenzi yangu kwako hayana idadi, kila siku nakuwaza wee/ Nipo kileleni, mwenge unawaka bendera yetu ipoo/ Imetawala amanii, furaha na upendo ndio sifa yakoo/ Mshale wa saa ukisogea, Mtanzania endelea kuwa unachotaka/ Visiwani karafuu inanukia, Tanzania hatuna ukabilaa/
Uzuri wako haufananiiii.. Tanzaniaaaaa oooh Majirani wanakutamaniii… Tanzaniaa